Kura Za Maoni Ccm Dodoma, Katika kura za maoni ndani ya CCM zi

Kura Za Maoni Ccm Dodoma, Katika kura za maoni ndani ya CCM zilizofanyika Januari 22, 2025, Dk Komba alishika nafasi ya tano kati ya watia nia 27 kwa kupata kura 213 kati ya 9,167 zilizopigwa huku Victor Mhagama, mtoto wa Jenista akiongoza kwa kupata kura 3,040. ‎Akizungumza na waandishi wa habari Leo Julai 29 , 2025 Jijini Dodoma, Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Amos Makalla ametangaza Majina yaliyopitishwa na chama hicho Mitaa mbalimbali ya Jiji la Dodoma imepambwa kwa bendera za CCM na picha za mwenyekiti wake, Rais Samia Suluhu Hassan. 57K subscribers Subscribe Shigongo, ambaye amewahi kuwa mwandishi, mjasiriamali na mtunga vitabu, alichaguliwa kwa mara ya kwanza kuwa Mbunge wa Buchosa katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2020. MATOKEO YA KURA ZA MAONI CCM YAWAACHA WENGI MIDOMO WAZI | HAYA HAPA MATOKEO YOTE Tupo Media 6. 3K Lakini ushuhuda wa binti huyu wa kutoka Ufufuo na Uzima unawaanika viongozi hao hadharani na uwongo wao. Katika mitandao ya kijamii, mijadala ilikuwa moto. Mitaa mbalimbali ya Jiji la Dodoma imepambwa kwa bendera za CCM na picha za mwenyekiti wake, Rais Samia Suluhu Hassan. ‎Pia alimtangaza Yustina Rahhi kushika nafasi ya pili Mbunge wa Kesho Jumatatu ya Julai 28, 2025 ni siku ya kipekee iliyobeba ndoto za watia nia wa nafasi za ubunge na udiwani kote nchini, ambapo Chama Cha Mapinduzi (CCM) kinatarajiwa kuanza kuweka hadharani orodha ya majina ya waliopenya hatua ya kwanza ya mchujo na kurejeshwa majimboni kwa ajili ya kuchuana kwenye kura za maoni. #BREAKINGNEWS: CCM INAWEKA WAZI MAJINA YA WABUNGE WATAKAOPIGIWA KURA ZA MAONI KAGERA 2020 3. Ratiba ya CCM ya uteuzi wa wagombea wa nafasi za ubunge, uwakilishi, udiwani wa kata/wadi na viti maalumu kwa ajili ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba mwaka huu inaonesha leo Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM ya Taifa itakutana kufikiria na kuteua majina ya wana CCM wasiozidi watatu walioomba nafasi ya kugombea nafasi hizo ili wakapigiwe kura za maoni. Akizungumza mara baada ya kutangazwa mshindi wa kura za maoni kwa tiketi ya CCM apinduzi Jimbo la Vwawa, Hasunga amewashukuru wajumbe kwa kumuamini huku akiwapongeza washindani wake na akisisitiza ulazima wa wagombea wote kuungana pamoja ili kuhakikisha kuwa CCM inashinda uchaguzi mkuu Oktoba mwaka huu. 1,487 likes, 186 comments - uvccm_tz on August 1, 2025: "MATOKEO YA KURA ZA MAONI YA UCHAGUZI WA WABUNGE WA VITI MAALUM KUNDI LA VIJANA, 2025 #KijanaNaUongozi #OktobaTunatiki ". 15K subscribers Subscribe DODOMA — Kamati Kuu ya Halmashauri ya Taifa ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) imepitisha uteuzi wa awali wa maprofesa 16 watakaoshiriki katika zoezi la kura za maoni kwa nafasi za ubunge na ujumbe wa Baraza la Wawakilishi kwa ajili ya kuwania majimbo yao katika uchaguzi mkuu utakaofanyika Oktoba 29. Wakati tunakwenda mitamboni majira ya saa sita mchana mchakato huo ulikuwa haujaanza. Majina ya wanachama hao yametangazwa leo Julai 29,2025 na Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa chama hicho, Amos Makalla wakati akizungumza na waandishi wa habari jijini Dodoma Pamoja na watia nia wengine walioidhinisha na kamati kuu ya halmashauri kuu ya CCM taifa, namshukuru sana Mungu kwa kibali, ndugu yenu Tlaatlaah ninaendelea na kampeni za kura za maoni vizuri sana kwasasa, licha ya kwamba sikufanikiwa kufanya hivyo katika baadhi ya kata siku ya kwanza ya kampeni Haya kumeshakucha tena La mgambo likilia ujue kuna jambo. ‎Taarifa hiyo imetolewa leo Julai 29, 2025 jijini Dodoma na CPA Amos 8 likes, 0 comments - tbc_dodoma on August 4, 2025: "Matokeo ya kura za maoni za Ubunge kwa Chama Cha Mapinduzi CCM katika Majimbo mbalimbali #tbcdodoma". 5 walioongoza kura za maoni za udiwani CCM mkoa wa Dodoma wameteuliwa rasmi kuwa wagombea. Jul 30, 2025 ยท Kamati Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM) imetangaza rasmi uteuzi wa awali wa wanachama wa chama hicho ambao watashiriki katika zoezi la kura za maoni katika nafasi ya ubunge na ujumbe wa baraza la wawkilishi. Mchakato wa kura za maoni ni miongoni mwa hatua za awali, ambapo baada ya hapo watiania walioibuka kidedea watakwenda hatua nyingine kujadiliwa kisha kupitishwa na Kamati Kuu tena. CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kimetangaza majina ya walioteuliwa kushiriki kura za maoni kwa ajili ya kugombea ubunge katika uchaguzi mkuu ujao. SAMIA AMEANGAMIZA WENGI KWA TAMAA ZAKE ZA MADARAKA, MBUNGE AONGEA Mbunge wa Jimbo la Chemba, Kunti Yusuph Majala (#CCM) ameyasema hayo Januari 27, 2026 wakati akichangia katika Bunge la 13, Mkutano wa Pili, Kikao cha Kwanza. Kama hiyo pia haitoshi, binti huyu alishiriki kuwaombea kura Rais Magufuli na Makamu wake Rais katika ule Uchaguzi wa Oktoba 2020 kwa kuwa yeye ni mwana CCM wa Mawe aliyekuwa katika Timu ya Askofu Gwajima wakati anatafuta Ubunge wa Kawe. Leo ni siku ya uamuzi magumu kwa wajumbe wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kote nchini, kura za maoni kwa nafasi ya ubunge, uwakilishi na udiwani zikitarajiwa kupigwa, kuamua nani ataibuka kupeperusha bendera ya chama hicho kwenye Uchaguzi Mkuu wa Oktoba mwaka huu.